It was yesterday bana mida ya jioni, jirani
kanipigia simu akanishtua kuna bonge la Foleni kuelekea Home. Yeye alinishauri
nibadilishe njia ila mimi, Well nka decide ku waste time kwa office kwanza quees
ziishe. Ilipofika mida ya kama 1800 hivi nkamuona dada mmoja wa makamo kiasi
akiondoka peke yake. Jengo letu lilivyo ni kuwa kama unatumia mlango wa nyuma
kutoka lazma upitie department yetu As usual, boys will always be boys
nkaanzisha story na kumsihi kuwa mida hii mafoleni makubwa avute hata 15 mins
hivi ndo aende. Pamoja na kuwa alikataa kusubiri kwa kisingizio kuwa kesha
chelewa sana lakini alisimama kunisikiliza. Here I was alone na bidada kwenye
mazungumzo ambayo hata hayakuwa na aim yeyote ya maana. Kiufupi huyu dada mi
huwa namuona tu na najua anafanya kazi pale ofisini ila sijawahi hata kuongea
nae. Waswahili wanasema Mbuzi akifia kwa muuza supu kinachofuata kinajulikana.
Basi na mimi when I ran out of things to say kwa huyu mrembo nkamuingia. Ingawa
nia yangu haikuwa kumtongoza na nili expect akatae kabisa na aondoke ila
aliendelea kunisikiliza huku akijichekesha. Sio kwamba ninampenda au nimevutiwa
naye ila niliishiwa tu story na maneno ya kusema kwa wakati ule. Nlivyomuuliza
kuwa ombi langu analipokeaje jibu lilinishangaza zaidi. Baada ya kuona hana
dalili ya kukataa nkamfungukia kuwa nina mchumba wangu nategemea kumuoa hivyo
this relationship ni Non-official. Hili pia halikumfanya akatae and she was up
for it huku akijitamba kuwa yeye ni bingwa wa kutunza siri and no one will know.I
was Flabbergasted, sijui ni ushamba au ndo maharage ya mbeya ila how can you
possibly say yes? The conversation lasted for abt 40 mins. Tukabadilishana
contacts with a promise kuwa tutawasiliana. To be honest ningeendelea na hata
kumuomba tukapate vinywaji na baadae guest angekubali kabsaaaaa 100%. Unajua
nimeamini kuwa hakuna mwanaume M.alaya ila tatizo wanawake wanatuwekea K mezani
kirahisi mno. Wengine hatupendi ku cheat ila kama wanawake hawabadiliki sidhani
kama tutafanikiwa. As for the time being, I'm keeping her number just incase.
Who knows she may be a very good friend after all.