Picha, Msanii Tyrese Akimwaga Machozi Eneo Alilopata Ajali Rafiki Yake Paul Walker

Tyrese Ni Moja ya watu wa karibu sana wa star Paul Walker aliyefariki Jumamosi iliyopita na leo alifika eneo alilopata ajali rafiki yake Paul na vyanzo kwa taarifa hizi vinasema kuwa Tyrese alishindwa kusema neno hata moja bali kulia sana na kuondoka.


Tyres na Walker enzi za uhai wake














First

Socials