NELSON MANDELA AFARIKI DUNIA


Nelson Mandela ‘Madiba’ amefariki dunia kwa mujibu wa CNN Mzee Madiba amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 95. Kwa mujibu wa rais wa Africa Kusini Jacob Zuma amesema mzee Mandela amefariki Ijumaa usiku baada ya kuugua kwa muda mrefu. Anatarajia kuzikwa baada ya siku 10 zijazo

Socials