WASANII HAWA WA BONGO MOVIES NA BONGO FLAVA WAMEAMUA KUJIUNGA CCM..WAPEWA KADI NA RAIS

Wasanii kadhaa kutoka kambi ya Bongo movies na Bongo flava leo hii Wameamua kukata shauri na kuchagua kujiunga na chama cha CCM , Wasanii hao ni JB , Banana Zorro, Rich Richie, Mboto , Irene Uwoya, Johari na Wastara...Wasanii hao wamepewa kadi za CCM leo hii na JK kwenye Sikukuu za kutumiza miaka 37 ya CCM Mjini Mbeya......



Socials