REAKING NEWS: MSANII WA KUNDI LA FUTUHI AFARIKI DUNIA.

MZEE DUDE
Habari zilizotufikia hivi punde kutokea jijini Mwanza, ni kuhusiana na kifo cha msanii wa vichekesho nchini maarufu kwa jina la Mzee Dude  kutokea katika kundi la sanaa maarufu kama Futuhi ambalo huonyesha maigizo yao kupitia kituo cha televisheni ya nchini hapa Star Tv.
Mzee dude amefariki Dunia hii leo majira ya saa 11 za jioni leo.
Kwa Taarifa zaidi juu ya msanii huyu zitaendelea kukufikia hapahapa kupitia skybongo.blogspotcom hivyobasi usikae mbali kwa kujua undani zaidi.

Socials