Msanii anaejulikana kwa | |
jina la deso hivi karibuni amekamatwa na gunia arobaini za bangi na | |
mpaka sasa yupo mikononi mwa police katika kituo cha police kibaha na | |
leo jumatatu anategemewa kufikishwa mahakani kujibu mashtaka hayo. | |
akiongea na blog hii chanzo chetu cha habari kimesema mtuhumiwa alikutwa | |
na vitu hivyo kwenye gari alipokuwa anajaribu kuzisafirisha kupeleka | |
mkoani tanga |