DIWANI WA CCM AUAWA MWANZA


Aliyekuwa Mwenyekiti wa zamani wa Chama tawala Cha Mapinduzi (CCM) na Diwani Kata ya Kisesa Mkoa wa Mwanza, Mzee Clement Mabina aliuawa jana mchana na wananchi wenye hasira kali kwa kile kinacho daiwa kwamba ni ugomvi wa ardhi

Mwili wa Mzee Mabina baada ya kufikishwa hospitali ya rufaa Bungando

Mzee Mabina enzi za uhai wake

Socials