JINSI YA KUSHIKA MIMBA FASTER.
1. Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, angalau siku tatu kwa wiki, ikiwezekana on alternate days.
2. Tumia ovulation
prediction kit, hiki ni kifaa ambacho kitakusaidia kujua wakati hasa
mwanamke ameengua yai na ndio kipindi ambacho mwanamke ana uwezo wa
kushika mimba akikutana na mumewe. Ni rahisi kutumia.
3. Fanya tendo la ndoa
kabla ya kuengua yai (kabla ya ovulation), huongeza uwezekano wa kushika
mimba kuliko kusubiria ovulation au kufanya baada ya ovulation.
Kutaneni siku mbili au
tatu kabla ya ovulation. Ukitumia ovulation test kit, mkutane kuanzia
siku itakapokuwa positive kwani huwa inapredict ovulation kutokea 48 hrs
after it tests positive.
4. Usitegemee njia ya
kalenda kutabiri uenguaji yai, njia hii kwa kiasi fulani huweza
kuwasaidia wale wenye mzunguko wa siku 28, lakini pia haina uhakika wa
100%, wengi wa wanawake hawaengui yai siku ya 14 ya mzunguko wa hedhi,
kwa hiyo kutegemea kalenda kutakuchelewesha kupata ujauzito.
5. unapotaka kushika mimba, acha au punguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya pombe, sigara au dawa za kulevya.
6. unapotaka kupata
mimba, tendo la ndoa liwe kitu 'enjoyable' na sio tendo 'mechanical' kwa
ajili ya kutafuta mtoto. Plan a romantic evening or try something
different to spice things up.
How you are feeling
sexually may increase your chances of getting pregnancy. For women a
better orgasm may help pull the sperms into the uterus and for men a
better orgasm may increase their sperm count.
7.Kufanya mapenzi katika
mtindo (style) ambayo itafanya mbegu za kiume zikae kwa muda mrefu
ukeni na hivyo nyingi kupanda kuingia kwenye kizazi na kwenda
kurutubisha yai.
'missionary position' ni
nzuri zaidi, ambapo mwanaume anakuwa juu, epuka positions za mwanamke
kuwa juu kwani hufanya mbegu zimwagike kwa gravity. Jaribu pia kuweka
mto chini ya kiuno ili kukiinua na kufanya mbegu ziingie ndani kwa
urahisi zaidi.
Kumbuka kuna asilimia 10
- 25 ya couples ambazo zina matatizo ya infertility lakini vipimo
havionyeshi tatizo, inaweza kuwa namna ya kufanya mapenzi ndio ikawa
shida, jaribu njia hizo 7 juu.
Kama hizi njia
hazijakusaidia basi utakuwa na matatizo na unaweza kumuona daktari kwa
msaada wa vipimo na matibabu. Natumaini uzi huu unaweza kuwa msaada kwa
watafutao watoto.