TAMAA YA PESA ,BITI APOTEZA MAISHA YAKE.
Sijui ni tabia au ni
destuli ya mtu, au uchu wa kupenda kuchezea au kuchezewa nyeti? mimi
kiukweli sijui, ila nikwamba Msichana mmoja mpenda pesa alomtoroka mme
wake na kwenda kwa hawara aliyefahamika kwa wengi katika eneo jilani
ambalo mke wa mtu pamoja na familia yake walikuwa wakiishi,alitoloka
akiwa na lengo la kumsaliti mmewe, Ghafla hawara alibadilika nakua Chatu
kisha akaanza kummeza mke wa mtu huyo.
Picha iliyopo apo juu
ilichukuliwa kwa njia ya simu na mmoja wa wahudumu wa hoteli ambayo watu
hawa walienda kupatumia kama sehemu yao ya kujivinjari, kwaiyo picha
hiyo itatumika ili kusaidia katika uchunguzi wa polisi. Jambo hili la
kusikitisha na kuustajabisha limetokea huko mkoani Mwanza.