USITUMIE DAWA AINA YA DICLOPA AU DICLOFENAC.

USITUMIE DAWA AINA YA DICLOPA AU DICLOFENAC.

Dawa za Diclopa na Diclofenac zadaiwa kuwa ni hatari kwa matumizi ya binadamu.

Radio Dutch Velle ya mjini Kolon iliyopo nchini Ujerumani, jana ilitangaza kuwa Dawa Diclopa na Diclofenac ni hatari kwa matumizi ya binadamu.

Imegundulika Vidonge hivyo husababisha kansa ya Ini na Ubongo,Ugonjwa wa moyo, Kiharusi, Vidonda vya Tumbo au kifo cha ghafla. Kwaiyo ndugu zangu tuwe makini juu ya matumizi ya dawa hizi.

Tafadhari umalizapo kusoma ujumbe huu, ebu share kwa ndugu jamaa na marafiki zako ili nawao wawe updated.

Socials