ACHA PUPA KITANDANI WEWE...!!!HATUA ZA KUFUATA KABLA YA KUFANYA MAPENZI.



Wapenzi na wanandoa wengi leo hii wanapoingia kitandani tayari kwa kuanza safari ya kupeana haki zao za msingi hushindwa kufurahia tendo na hali hii hasa hujitokeza kwa wanawake kwani mwanaume huwa na haraka iliyopitiliza.
Mwanaume atamkumbatia na kumbusu mwanamke kwa muda mfupi na kabla hata hamasa ya mapenzi ya mwanamke haijashika hatamu,atamwingilia na ndani ya dakika zisizozidi 3 mwanaume hufika mshindo.Katika hali ya kusikitisha baada ya mwanaume kujitosheleza hujongea pembeni bila kujali mwenza wake hajafika mwisho wa safari hali inayosababisha mwanamke kupoteza hamu ya tendo endapo tabia hiyo ya mwanaume itaendelea.
Kuna hatua muhimu ambazo wapendanao wakizishika na kuzitekeleza ipasavyo basi watafanikiwa kujitosheleza kila wanapokutana na kwa hakika watakuwa ni miongoni mwa watu wachache wanaofurahia faragha kila wakutanapo.

Socials