FUMANIZI LA MWAKA TANGA; USIOMBE UKAFUMANIWA KATIKA MKOA WA TANGA UTATEMBEZWA WAZI KAMA HAWA JAMAA HUKU WAKISINDIKIZWA NA MSAFARA WA BODABODA


Ndugu jamaa na wadau wa makubwa haya tujiepusha sana na kupenda wake au waume za watu, jamani hembu angalia kilichowakuta hao wapo juu, kwa msingi huu ina maana hata ndoa zao mpaka leo hii zitakuwa zishavunjika!! sasa haya jiulize kwa kipi kipya jamni!


Socials