Bibi Harusi Mtarajiwa Afumwa Geto Kwa Njemba Akiliwa Uroda

Bibi Harusi Mtarajiwa Afumwa Geto Kwa Njemba Akiliwa Uroda



Dada huyu ameharibu ndoa yake mwenyewe na kujikuta anajuta, zikiwa zimebakia wiki mbili tu kufanya kufanya harusi mpango ulivurugika baada
ya picha za uchi ya huyu dada kunaswa akiwa getoni kwa jamaa akiwa amejiachia uchi wa mnyama akicheki TV. Tunaposisitiza kuwa michepuko haifai watu wanatuchukulia kama wajinga, wewe unajua kabisa ulikuwa na mwanaume fulani na sasa umepata mchumba kwanini usiende ukampigia magoti na kumweleza ukweli akutunzie siri kwa kuwa tayari umepata mchumba? Haya ona sasa maji yashamwagika.

Socials