USIJIFICHE KAMA HUJARIDHIKA MWELEZE MPENZI WAKO AWAJIBIKE

Usijifiche kama hujaridhika mweleze mpenzi wako "awajibike"
Mara nyingi uhusiano wa kimapenzi kwa watu wengi unafikia kikomo, kutokana na kutoelezana ukweli.

Haya mambo ya kuficha kama umeridhika katika kugegedana, ndio watu hutafuta majenereta ya kuwatosheleza.

Usione aibu shughuli haikuwa kiwango mwambie ili ajue alikosea wapi, asirudie tena.

Hii iwe kwa mwanaume ama mwanamke, kaeni mjadili mwenzako anapenda nini na huwa hapendi nini.

Kuna vitu utajipinda kufanya kumbe mwenzako anaona karaha tu, ila mngekuwa mmeyaongea ukajua hapendi usingemfanyia.

Ungefanya yale anayopenda na mkaridhishana, mapenzi ni sanaa so kila mara ni kuendelea kujifunza.

Socials