NAOMBA KUJUA..WANAWAKE WENYE PROFESSIONAL HIZI WANA TABIA GANI MAPENZINI?

NAOMBA KUJUA..WANAWAKE WENYE PROFESSIONAL HIZI WANA TABIA GANI MAPENZINI?



Naombeni kufahamu wanawake wenye hizi profession wana tabia gani katika ndoa zao ama wanapokuwa uchumbani mwao..

1. Wanawake wanasheria..

2. Wanawake wenye profession za mambo ya fedha kama finance management na accounting..

3. Wanawake madaktari na waalimu..

Je, hawa wanatumiaje proffession zao katika cheating wakuu???

jamani tuangazieni na wanawake wengine katika profession mbali mbali..!

Je kazi anayofanya mwanamke inaweza kumbadilisha na kuwa na tabia fulani???

naombeni maoni yenu wadau!

Socials