KUJICHUBUA NA KUVAA MLEGEZO KWA MWANAUME KUNA FAIDA NA MAANA GANI?





Waungwana naomba mnijuze faida ya kuvaa mlegezo,kutoboa sikio,na kujichubua rangi ya ngozi kwa mwanaume. Kiukweli hiyo hali inanikera sana ninapomuona kijana wa kiume anafanya vitu hivi lakini inawezekana ni ushamba wangu tu labda kuna faida fulani huwa wanapata .je unazijua faida zake au hasara zake au unamchukuliaje kijana wa kiume anayefanya hivyo.

Socials