KIZAAZAA HIKI JAMANIIIII!!!!....MAMA SHARO MILIONEA AMVAA KITALE KWA TUHUMA NZITO NA ZA AIBU...!

KIZAAZAA HIKI JAMANIIIII!!!!....MAMA SHARO MILIONEA AMVAA KITALE KWA TUHUMA NZITO NA ZA AIBU...!






Mama yake na marehemu Hussein Mkieti aka ‘Sharo Milionea’ .Makubwa! Mama mzazi wa aliyekuwa nyota wa filamu na muziki, marehemu Hussein Mkieti ‘Sharo Milionea’ amemtuhumu msanii wa vichekesho ambaye alikuwa rafiki wa mwanaye, Musa Kitale kuwa alikula michango ya kumbukumbu ya kifo cha mwanaye, mwaka jana.
Kwa mujibu wa chanzo makini, Mama Sharo amekuwa akimlalamikia Kitale kwa watu kwamba alikula fedha za mchango wa mwanaye hivyo kupigwa marufuku kwamba kitu chochote kinachomhusu Sharo asipewe.
Ilidaiwa kwamba, chanzo cha mama Sharo kutaka Kitale asipewe kitu chochote kinachomhusu marehemu ni baada ya hivi karibuni Klabu ya Bongo Movie Unity kutangaza kuwa litatoa Tuzo kwa Sharo Milionea kama kumbukumbu kwani alikuwa ni mwenzao katika tasnia ya filamu.
Ilisemekana kuwa mama huyo alielezwa kwamba tuzo hiyo itapokelewa na Kitale ndipo alipokataa na kusema hataki kabisa kitu chochote kipitie kwa msanii huyo kwa sababu huwa hamfikishii.

BOFYA HAPA UPATE ZINGINE KALI ZAIDI.......................




Socials