BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YATOKEA RUAHA


Bas la nganga linalofanya safar iringa kilombero limegongana uso kwa uso na fuso kisha magar hayo kuteketea kwa moto huku maeneo ya miliman kilometa kadhaa kutoka ruaha mbuyun kama unaenda moro. watu kadhaa wamepoteza maisha akiwemo dereva wa fuso hilo na wengne wamekufa kwa kuteketea na moto ajal hyo imetokea leo asbh saa 2. As Received






JUST TYPE R.I.P KWA WENZETU WALIOPOTEZA MAISHA

Socials