Attention: Ukioa Mke Msomi Mwenye Kazi Nzuri, Jua Sio Kila Mara Utapewa Mapenzi



Wanawake walioenda shule wakapata kazi ni shida utasikia "leo nimechoka kazi zilikuwa nyingi, niache nilale kidogo" imetoka hiyo, tena utasikia "niache nilale kesho nina presentation" ishatoka hapo kama ndo hamu ilikuzidi, utakoma.


Usiombe ukawa na hamu, yani utatamani uchepuke, kutana na asiye na kazi sasa, kila mda kakutegeshea, unatupia mawe utakavyo, labda zile siku za utaalamu wao.


Jamani wanawake wasomi badilikeni.

KWA ZINGINE KALI ZAIDI CLICK HERE

Socials