APENZI:..KUMBE HAYA NDIYO MADHARA YA KUTOFANYA MAPENZI KWA MUDA MREFU!!SOMA YASIKUKUTE

DUUH..SIRI YAFICHUKA..KUMBE HIZI NDIO SIFA ZA DIAMOND



1. Msanii wa kwanza East Africa kushinda tuzo tatu za Channel O 
2. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kushinda tuzo 7 za kili music awards
 3. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwa nomonated kwenye tuzo kubwa duniani za BET 4. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwa nominated kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards 5. Msanii wa kwanza Tanzania kushinda tuzo kubwa nchini Nigeria 'Future awards' 5. Msanii wa kwanza Tanzania mwenye influence kubwa zaidi kuwahi kutokea
 6. Msanii mwenye influence kubwa ktk social networks
 7. Msanii anayelipwa pesa nyingi zaid kwenye show kuliko msanii yeyote africa mashariki 8. Msanii mwenye ulinzi mkali zaidi kuliko msanii yeyote afica mashariki. 
10. Msanii aliefanya kazi kubwa zaidi kuinua maslahi ya wasanii katika shows, kwa kupandisha kiwango cha malipo katika shows zake 
11. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kufanya collable nyingi za nje. 
12 Msanii wa kwanza Tanzania kuwa na video nyingi zenye views zaidi ya million mbili youtube. 
13. Msanii pekee East Africa anayeweza kupiga shows sehem yeyote East & Central Africa na akajaza uwanja wa mpira peke yake. 
14. Msanii pekee Tanzania ambae anafahamika zaidi nje ya nchi.
WEKA MAONI YAKO HAPA

Socials