MFANYE MKEO AU MPENZI WAKO AWE NA FURAHA MUDA WOTE KWA KUFANYA YAFUATAYO!




1. Mpigie simu hata mara mojakwa siku, hata ikitokea umebanwa sanana kazi tuma hata ujumbe mfupi tu

2. Msikilize kwa makini aongeapo

3.Msifie/Mpongeze kwa dhati mara kadhaa uwezavyo

4. Chunguza kwa makini vitu anavyovipenda na asivyovipenda

5. Jenga tabia ya kumnunulia zawadi sio lazima mpaka ukiwa unatoka safari

6. Jitahidi kuwa mnatoka wote sio lazima mpaka uwe na marafiki zako,mfano chakula cha jioni nk

7. Kuwa na upendo kwake, usiwe mtuwa fujo ugomvi hasira

8. Onyesha unamjali kwa kutanguliza mahitaji yake kabla ya kwako

9. Fanya mambo upendayo mfano mwanaume unaweza ukawa unapenda kuangalia soka, kunywa kidogo na mwenzi wako anapenda movie, swimming sasa hapo ukifanya yako hakikisha unamsupport upande wake ili furaha yenu ikiutane

10. Kuwa muwazi kwa baadhi ya vitu ambavyo unahisi anahitaji maelezoyaliyojitosheleza!

MENGINE MENGI UNAWEZA KUPATA KWA KUBOFYA HAPA NA KULIKE PAGE YETU



Socials