FUNDI SAA APOKEA KICHAPO BAADA YA KUDAIWA KUMLAWITI MTOTO..CHEKI TUKIO ZIMA LILIVYOKUW




Njemba mmoja ambaye ni fundi saa maeneo ya Stendi Kuu jijini Arusha leo amepokea kipigo cha mbwa mwizi baada ya kudaiwa kumlawiti mwanafunzi wa kiume wa darasa la tatu wa shule moja jijini humo.

KUPATA HABARI NYINGINE KALI ZAIDI BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU

Socials