Sintah Ampa Pole Capt. Komba Kwa Kuchafuliwa na Picha Fake

Sintah Ampa Pole Capt. Komba Kwa Kuchafuliwa na Picha Fake

"Kwakweli watu wakikuamulia wamekuamulia aisee, picha hizi ni za uzushi na zimetengenezwa wabataka kumchafua Mh Komba, hivi uko chumbani na baby wake wewe uvae khabga yeye awe na shirt badala ya vest kama kweli mko wenyewe kimahaba? Khaa eti na mabusu juu inamaana Mh alikuwa anaona picha zinapigwa na yeye akauchuna?? maana ni picha za kujiandaa haswa 

Pole sana Mh Komba tupo na wewe katika hili kuhakikisha uko salama salmini na haya majitu ya kutengeneza pics fake" Sintah

Socials