MWILI WA MSANII ADAMU KUAMBIANA UKITOLEWA KATIKA HOSPITALI YA MAMA NGOMA JIJINI DAR ES SALAAM.
Adam Kuambiana.
Chanzo cha habari kimeripotia kwamba msanii Adam Kuambiana amefariki leo muda mchache uliopita baada ya kuanguka ghafla wakati akiwa location akiwajibika katika shughuli zake za sanaa na kuwahishwa haraka katika hospitali ya Maria Stopas ilioko Sinza Afrika Sana jijini Dar es Salaam.
Umauti ulipomkuta, Taarifa zaidi kuhusu msiba huu endelea kufatilia hapa
...Msanii aliekuwa akicheza filamu moja na marehemu katika Hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar akilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Mama Ngoma leo mchana huu.
...Wasanii Q Chilla na mwenzie wakilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Mama Ngoma leo mchana huu.