UFUNDI KATIKA KUNYONYANA NDIMI WAKATI WA KUFANYA NGONO.

UFUNDI KATIKA KUNYONYANA NDIMI WAKATI WA KUFANYA NGONO.



Kitendo cha kunyonyana ndimi kwa wapenzi (denda) ni miongoni mwa kitendo kitamu kuliko maelezo yaani mpaka nashindwa nielezeeje.Ukweli unabaki palepale kwamba kila jambo katika mapenzi linahitaji ufundi hivyo hata kwa upande wa kunyonyana ndimi lazima wahusika (mume na mke) muwe na utaalamu kidogo ili muweze kula vizuri uroda huu.

Kunyonyana ndimi yahitaji maandalizi kama vile ya kinywa, hisia nk. Inakuwa hali ya kushangaza pale wahusika wakiamua kuparamiana tu midomoni bila kuandaa mazingira mazuri ya kufanya tukio hili muhimu. 

Waweza kula big G,pipi au kitu chochote chenyekuleta ladha murua mdomoni na baada ya muda ndio unaweza sasa japo kumsogelea mpenzi wako kwa shughuli kadhaa za kimahaba.
Asante kwa kusoma bongomail.blogspot.com aya basi tuendeleeee
Kuna ufundi tofautitofauti juu ya hili lakini leo ngoja nikupe utundu mmoja ambao haujazoeleka lakini wenye utamu na raha isiyo kifani.Zifuatazo ni baadhi ya dondoo muhimu.

*karibianeni pasipo aibu na uanze kumuongelesha mpenzi wako taratiibu na kwa sauti ya chini,waweza kuzungumzia mada yoyote inayohusu mapenz au waweza mwambia maneno yoyote matamu yenye kuamsha hisia za mapenzi kama.

*Taratibu na kistaarabu anza kumgusa midomo mpenzwanko kwa kutumia lipsi zako huku umempitishia mikono kiunoni au waweza mshika makalio,baada ya hapo chomoa ulimi wako na uupenyeze kwenye mdomo wa mpenzi wako.

*Pia na wewe waweza mwacha na yeye aupenyeze mdomoni kwako na waweza mfanyia vimichezo kadhaa vya kimahaba kama kuung’ata kwa mbaali ila uwemwangalifu usimuumize, pia waweza kuuvuta kwa kuufyonza kama wataka kuumeza.



*Vile vile waweza mbadilishia zoezi kwa kumnyonya lips, kidevu na sehemu zingine mashetani yako yatakapokutuma umnyonye. 


Pia waweza kumfumba macho kwa kutumia kiganja cha mkono wako kisha mnyonye kwa hisia huku ukiachi pumzi kwa mbaali jambo litakalo kimbiza mapigo ya moyo wako na kuamsha ashiki zilizolala hivyo kukufanya mwenye hisia za ajabu tayari kwa kupenzika.

Unapokuwa mtundu katika unyonyaji huu waweza kumfanya akojoe bila shaka yoyote.

Socials