
Ukitafutiwa Jenereta la Dharura kwenye Mapenzi usilalamike,Jilaumu mwenyewe kwa kutotabirika kwa Umeme-Penzi wako...Watu wanasikia Joto wameamua kujizatiti ili ukikatika tu kitu kinawaka AUTOMATIC.
Shkamoo wote mliowekeza mitambo ya Symbion na Aggreko kwa sababu Wapenzi wenu wapo-wapo tu hawajitambui wanatumia Mita au Unit za LUKU
WANAUME:Msipoangalia mtajikuta LUKU haina kazi mtu yuko under Generator masaa 24 kuepuka kadhia,Utajibebaje!