HUYU NDIYE MSANII MZURI NA MREMBO ZAIDI KULIKO WOTE BONGO MOVIES...!! WEMA, KAJALA, LULU TUPA KULE..!!

Mrembo Batuli anasemekana kuwa na Uzuri wa Asili pia Urembo kuliko wasanii wote kunako pande za Bongo Movie.

Hapa Akiwa amejiachia kidogo kuonyesha jinsi alivyobarikiwa...yes..Upaja n.k

Mrembo Akiwa Kapozi kwenye Gari ..
WEWE UNASEMAJE ?