BABA MDOGO AMEINGIA GAFLA CHUMBANI KWANGU NA KUNIKUTA UCHI NIKIVAA NGUO, SASA ANANISUMBUA ,ANATANITAKA
Bahati mbaya wakati anaingia chumbani kwangu gafla alinikuta nikiwa uchu nikiwa nimevaa chupi tu, sasa toka wakati huo amakua akiniangalia kwa macho ya kimapenzi na anataka kutoka na mimi out anasema kuna jambo anataka kuongea na mimi. Nimefikiria kumwambia kaka yake , lakini nahisi nikimwambia baba naweza kufanya tatizo kuwa kubwa zaidi, naombeni ushauri wanajamii forums, sababu sasa ameanza kunitumia message za mapenzi usiku, na huyu ni baba yangu mdogo na amenipita miaka mingi kwa kweli, namheshimu na naogopa kumjibu vibaya.