
Nimepata mimba kwakweli sitaki kuitoa ila namuonea huruma mpenzi wangu hana kazi na mimi pia bado hata sijamaliza chuo. wazazi wangu sasa hivi wananifikiria mimi tu sasa nikiwaletea na mtoto tena itakuwaje wakati mimi tu wananishindwa.
Naombeni Ushauri Jaman..