MMH...MKE WA MTU SUMU, MUME WA MTU JE?!!KILICHOMPATA DENT HUYU MREMBO KIWE FUNDISHO KW WENGINE....!!


Ilipita muda kidogo bila kuwa na mpenzi kwani, nilikuwa kwenye wakati mgumu sana, ila alitokea kaka fulani ambaye nilikuwa na chat nae tu kwenye BBM, alinishawish tuwe marafiki na mwishowe tukaanza kupendana. Sikujua kama kaka huyo alikuwa ni mume wa mtu kwani hakuwahi kuniambia ila tu kitu nilichokuwa naona ni pete ya ndoa aliyo kuwa nayo.
Siku moja tulipanga kwenda out, tulifanya hivyo na baadae tulichukua chumba hotel fulani, usiku huo tulichezeana kila mahali tulifanya kila kitu ila nilikataa kufanya mapenzi. Alinichezea nami nilimchezea yani ulikuwa ni usiku mzuri sana. Asubuhi yake alinikodishia Tax Nakunipeleka nyumbani

Kumbe kipindi chote hicho mke wake alikuwa amesafiri, Siku hiyo alinipigia simu akaniambia kuwa anapanga safari ya kwenda beach na wenzake ambako tutaenda wote na kulala huko. Ilikuwa ni siku ya Juma mosi tulienda kwenye ufukwe huo na kukodisha boat nakula raha sana. Nilipata tetesi kwamba jamaa ameoa ila nikasema sio mbaya kwani pia sio mtu mbaya. Siku hiyo tulikunywa pombe sana. Ilipofika majira ya saa sita hivi usiku sikuwa na kumbukumbu tena nilishiktuka asubuhi na kukuta nimezungukwa na condom zilizotumika nikiwa peke yangu chumbani huku nikiwa nasikia maumivu makali sana sehemu zangu za siri. Kumbe yeye na marafiki zake walinifanya usiku ule wote... Nilitokwa na mchozi sikuamini. Nilijuta sana hata niliporudi shule Sikuweza kufanya vizuri kabisa...

Socials