
Swahilitz inabidi iulize madada mnaopenda kuvaa nguo zenye majanga kama hivi inakuwa mnatafuta soko au ni ujinga na ulimbukeni unawasumbua.?
Hao pembeni ni Jokate, Wema, Kajala na Aunty Ezekiel. nakaa najiuliza bila kuvaa hivyo siku haiendi au out hawatoki??
Kazi kwako mdau kufunguka unajisikiaje au unamchukuliaje mtu anayevaa mavazi kama haya.