HUYU NDO MWANADADA TAJIRI ZAIDI AFRIKA MASHARIKI, NA HIZI NDO MALI ANAZOMILIKI. TAZAMA PICHA HAPA

Zari ni mrembo mwenye makazi yake Africa Mashariki katika nchi ya Uganda, Ni mrembo haswa mwenye umate mate wakutosha wa kumwezesha kumiliki Usingizi mzuri magari ya kifahari yani full kipupwe. Maisha ya raha kwake ni sawa na doze anaweza kufanya chochote kwani umate mate unaongea. Lakini je umate mate huu umetokana na nini mimi na labda na wewe tutabaki kujiuliza bila majibu lakini mwenyewe anajua . 









Huu ndiyo usingizi wake full kipupwe 

naweza kuona na kutambua kuwa kizuri kula na ndugu zako 

Usafiri wa kwendea sokoni ni habari ya mjini

Usafiri wa kwendae duka

Huu ni usafiri wa kwendea kwenye shughuri za kioffice 

ari akiwa ndani ya duka lake la vito vya thamani

Habari ndiyo hii najua ungetamani kuweka kioo chuni kwa wale wa tuliosoma shule zetu za uswahili kama mimi jibu mnalo..tee tee tee tee...!!

Usafiri huu ni mambo ya mitoko ya usiku kwenye viota vya maraha ndani ya jiji la Kampala

Uwani kwake magari ya wageni wakitaka kuzunguka mjini

Usafiri wa kumpeleka mtoto shule na kumrudisha

Zari akiwa kajipumzisha nyumbani kwake

Socials