NAWAOGOPA WANAWAKE WAZURI..TATIZO SIJUI NINI


Nawaogopa wanawake wazuri, tatizo sijui nini?
Pamoja na ujanja wangu wote ktk nyanja mbali mbali lakini linapo kuja swala la mapenzi nishindwa kujielewa sijui Kwanini Nawaogopa wanawake wazuri (Watanashati/ Warembo) Tangu nibaleh na kujiingiza na maswala ya mahusiano sijawahi kujipa ujasiri wa kusimamisha PINI na kuitupia vina. Sio kama siwataki hapa ukweli Nawaogopa sana wanawake wazuri. Wanawake wangu sikuzote ni wakawaida sana tena wengine kiukweli hawanifikii hata kwa hadhi (kuku wa kienyeji) Imefika wakati Rafiki zangu wananiita wa Mizoga kwa kupenda wanawake 

Socials