DIAMOND PLATNUMZ ATEKA JIJI LA NAIROBI, AHOJIWA NA VYOMBO VYA HABARI KARIBIA VYOTE

Hii ni sehemu ya pili,ya mahojiano na media mbali mbali
Hapa Nairobi,baada ya kufanya mahojiano na
 Tuva wa Mambo mseto..nilifanya mahojiano na

Kiss Tv kisha nikafanya na waandishi kutoka vyombo vingine  vya habari
waliokuwa wakinisubiri nje...
kama ilivyokuwa kwenye mambo mseto...kikubwa
 walitaka kufahamu kuhusu mipango yangu ya baadae
kimziki,collabos,na maisha yangu..


















Socials