AIBU…IRENE UWOYA ANASWA AKIMTOMASA SEHEMU NYETI BABA HAJI ILIKUWA KWENYE PARTY YA BONGO MOVIE
Iren Uwoya akiwa anajipapasa mwilini mwake…Kilichofuata sasa Duh Cheki Picha chini.Mmh hapo sasa sijui alikuwa anahitaji nini Owoya kwani akiwa amemgusa sehemu nyeti baba haji.Na Laulant Samata
Kamera za kisasa za gazeti la Maskani Bongo zilizokuwa zimesambaa ukimbi mzima kwenye party ya Bongo movie zilifanikiwa kunasa tukio moja la aibu toka kwa mastaa Irene Uwoya na Baba Haji wakiwa wamegandana kama ruba huku wakipapasana sehemu nyeti.