ULEVI NOMAAA SANA...PICHAZ..JIONEE MWENYEWE MENEJA ALIVYOFANYWA KITU MBAYA BAADA YA KUVIFAKAMIA VIROBA...!


ULEVI NOMAAA SANA...PICHAZ..JIONEE MWENYEWE MENEJA ALIVYOFANYWA KITU MBAYA BAADA YA KUVIFAKAMIA VIROBA...!

Meneja wa Club ya V.I.P mjini Iringa Mick akiwa amezima baada ya kunya viroba na kisichana kwa kuonyesha uwezo wake na baada ya dakika 20 akazima kama hivi ,hapa nalazimika kukumbuka ule ujumbe wa chonde chonde! ulevi Nomaaaaaaaaaa!?


Ukisema ulevi noma wapo watakaosema ulevi ni sehemu ya kupoteza mawazo ila kwa tukio hilo kila mmoja anaweza ungana nami kuwa kweli ulevi noma hapa ni eneo na TFA mjini Iringa ambapo meneja huyu wa Club ya V.I.P akiwa amezima kwa kunywa pombe kupita kiasi


Wasamaria wema wakimtazama meneja huyo chapombe akiwa amezima


Mlinzi wa eneo la TFA akijaribu kumsaidia baada ya polisi kufika na kuamua kumwacha kutokana na ugonjwa wake wa pombe kutokuwa na daktari wa kutibu




Socials