TENDO LA KUJAMIIANA HUMWONDOLEA MWANAMKE MSONGO WA MAWAZO, LAKINI FAIDA KUBWA MANII YA MWANAUME HUMFANYA MWANAMKE KUCHANGANYIKIWA KWA RAHA !!!.

TENDO LA KUJAMIIANA HUMWONDOLEA MWANAMKE MSONGO WA MAWAZO, LAKINI FAIDA KUBWA MANII YA MWANAUME HUMFANYA MWANAMKE KUCHANGANYIKIWA KWA RAHA !!!.


TUJIKUMBUSHE KATIKA HILI.

Lakini si Kujamiiana tu ! Bali ni kujamiiana kavu kavu, (ngono isiyo salama) !

utafiti huu umefanyika Marekani kwa kuwahoji wanawake takribani 253, ambapo ilibainika kuwa kati ya hao, wale waliokuwa wakishiriki tendo la ngono pasipo ukame, tena bila kutumia kondomu, walikuwa na raha sana muda wao mwingi, hawakuwa na msongo wa mawazo kama vile wale wasioshiriki kabisa, au wale wanaoshiriki huku wamevaa kinga .!
Kuna furaha isiyokifani aipatayo mwanamke anayetenda tendo hilo pasipo wahusika kuvaa kinga yoyote! Furaha hiyo huletwa na Manii ya mwanaume yamwingiapo mwanamama huyu!

Utafiti wa kisayansi umegundua kuwa manii si tu kwamba hubeba mbegu za kiume zisababishazo mimba kutungwa mara zikutanapo na yai la mwanamke, bali pia huwa yana madini na homoni muhimu ambayo mwili wa mwanamke huyahitaji sana!

Humpatia raha mara yamwingiapo barabara, kisha huweza kumletea usingizi mwororo, na zaidi na zaidi kumwacha na akili yenye afya isiyokuwa na msongo wowote!


Haya Wanawake, naombeni ushuhuda wenu juu ya utafiti huo uliofanyika Marekani!

Lakini sambamba na Utamu huo kumegundulika gonjwa jingine kulekule la hatari zaidi kuliko UKIMWI litokanalo na uhondo huo wa kujamiiana pekupeku! Je, jamaa zetu hawa wanatutakia mema kweli?


CLICK HERE FOR MORE STORIES

Socials