MWANAMUZIKI H-BABA AKUTWA KITAA AMEMBEBA MTOTO WAKE MGOGONI

MWANAMUZIKI H-BABA AKUTWA KITAA AMEMBEBA MTOTO WAKE MGOGONI


Mwanamuzi Maarufu wa Bongo Flava H-Baba Hivi Karibuni amekutwa amembeba mtoto wake mgogoni kwa kutumia mbeleko kama wabebavyo wamama huku akiwa hana habari na mtu alipoulizwa alisema yeye anapenda kumsaidia mke wake (Flora Mvungi ) Kulea mtoto kwani ni Jukumu lao wote wawili........Any COMMENT?

Socials