Love; TOFAUTI ZA MAPENZI YA KATI YA NYUMBA NDOGO NA NYUMBA KUBWA...SHIDA

Love; TOFAUTI ZA MAPENZI YA KATI YA NYUMBA NDOGO NA NYUMBA KUBWA...SHIDA KWELI..





Kwa Nyumba Kubwa Unakaribishwa kibishi tena hamna cha pole wala nini yani unafanya yako naye yake msosi sio unaukuta mezani ni mpaka ufate jikoni tena ukapashe moto mwenyewe... Ila Nyumba ndogo ooh sweety,darling, baby na majina matam kibao then kazi zote anafanya yeye hii ndio ileee hata ukipiga chafya anadai atakupeleka hospital.. Mapenzi Balaaa

FOR MORE CLICK HERE.............

Socials