Kimsingi Kiasili na Kisayansi Mwanaume Hana Mwanamke Mmoja


Kimsingi Kiasili na Kisayansi Mwanaume Hana Mwanamke Mmoja



Wanafiki kaeni kando tunajadili facts
Ingia kwenye maandiko angalia habari za mitume na manabii ,soma historia angalia wafalme watemi na machifu
Ingia kwenye documentaries za wanyama utapata jibu moja tu ukiwa mwanaume mkamilifu unatakiwa umiliki wanawake zaidi ya mmoja
Soma habari za mfalme Suleiman alikuwa na wake wengi na masuria pia. Masuria ni wanawake warembo wajiuzao kwa lugha ya kisasa ni machangu
Mwangalie jogoo akiwa na kundi la tetea halafu atokee jogoo meinginr uone ngumi zake angalia na wanyama hata wadudu pia
Tusameheni bure tunapokuwa na vidumu ni tendo la kiasili mno ni asili inachukua mkondo wake
ulishawahi kuona wapi mwanamke akaolewa na wanaume wengi kwa wakati mmoja ?kama yupo ujue hiyo ni habari kubwa sana
kuwa na nyumba ndogo haimaanishi kuwa hatuwapendi au mapenzi yameisha ni asili inachukua mkondo
wake.


Socials