HUU NDIO UKWELI..WEMA SEPETU NI STAA WA AINA YAKE SIO TU TANZANIA BALI HATA KIDUNIA....!!!


HUU NDIO UKWELI..WEMA SEPETU NI STAA WA AINA YAKE SIO TU TANZANIA BALI HATA KIDUNIA....!!!


Ni mara chache sana unaweza kukuta celeb wako poa kuvaa vitu au nguo za kufanana,ila kwa Diva wetu huyu Madame Wema Sepetu, kwenye swala zima la kuvaa sare sare anaongoza kwa kweli,mara nyingi unaweza ku-notice pale anapokuwa ametoka outing,especially akiwa na mabeste wenzake anapendelea sana kuvaa sare sare.


Hii ni nadra sana kutokea especially kwa celeb wengi ambao kila mtu anataka atoke kipekee,kama ilivyo kwa ma-celeb wengi wakike wa nchi nyingi za nje,hawapendi sana kutokea kwa hiki kitu,na mtu yuko hata radhi akatishe safari zake kwa muda,apitie kwenye duka la nguo,anunue nguo nyingine abadilishe,ili tu kuepuka na jambo kama hilo ambalo mara nyingi hutokea kwa bahati mbaya, tena si kwa kupanga.

Kwa huko nchi za wenzetu wanasema ikitokea mmekutana watu wawili mmevaa nguo sare,kwao wanaita siku mbaya, Kwa upande wa Diva huyu,inaonekana ni tofauti sana na celeb wengine, ana-swag tofauti kabisa, anaonekana kutojali swala hilo,hata kupanga kuvaa nguo zinazofanana at times yeye na mabeste zake.

Socials