hivi ni Kweli Mwanamke Anafurahia Sana Kutomaswa Kuliko Tendo Lenyewe

hivi ni Kweli Mwanamke Anafurahia Sana Kutomaswa Kuliko Tendo Lenyewe
Nimepita sehemu nimekutana na huu usemi kuwa mwanamke yeye raha yake ipo zaidi kwenye kutomasana au romance kwa kingereza...Nasikia ukiwa mjuzi wa Romance basi mwanamke kukuacha ni shida....Jamani kweli hayo?

Socials