DEMU WA MTU ACHEZESHEWA KICHAPO CHA HAJA BAADA YA KUMEGWA NA BWANA MWINGINE USIKU KUCHA,TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA HAPA..




Hapa akiwa amelala hajitambui baada ya kupata kipigo
Tukio hili limetokea leo asubuhi ,katika mji wa Iringa maeneo ya mwangata.





Hapa wananchi wakiwa wanashudia jamaa akimpa kichapo mkewe baada ya kumfumania






Picha hii jamaa amembeba mke wake baada ya kumfumania na kumpa kipigo kikali wakielekea nyumbani
Paparazzi wetu alifanikiwa kulinasa hili tukio.Jamaa mmoja jina halikuweza kupatikana amemfumania mkewe gesti baada ya kumfumania alichokifanya ni kumruhusu yule mwanaume aliyemfuma na mke wake nakusema jamaa hana kosa mwenye kosa ni mke wake.Jamaa akazidi kufunguka nakusema mke wake alitakiwa kukataa alipotongozwa moja kwa moja mke wangu ndiye mwenye makosa huyu mgoni hana kosa kabisa.Kilichofuata baada ya hapo alimpa kichapo kikali kama unavyoona kwenye picha. Mwisho wa siku akambeba na kurudi naye nyumbani maeneo ya mwembetogwa ili kumfungashia mizigo yake na kumrudisha kwa wazazi wake.

<<<<USIKOSE KIBOFYA KWA  ZINGINE KALI ZAIDI>>>

Socials