UKITAKA KUA NA DEMU BONGO MUVIE JIANDAE KUCHAPIWA...angalia picha chafu za kimapenzi ndani ya tasnia hiyo


Tasnia ya uigizaji Tanzania maarufu kama bongo muvie imekua ikipanda kila kukicha na kuwanufaisha wengi wanaoamua kujiingiza huko na kubahatika kupata mafanikio makubwa. Wengi wamenufaishwa kama kina Ray, Shilole, JB, Ndauka na wengine wengi. Lakini bongo muvie hiyohiyo imejaa uchafu mwingi ambao behind the scene hauelezeki...... 


Mademu wa bongo muvie  
wamekua ni watu wa kujiachia sana na kujisahau linapokuja suala la kwenye scene za mapenzi, Je kama wewe ni mwanaume rijali uliekamilika unaangalia mchumba wako  anashikwashikwa kimahaba na jidume lingine utajisikiaje?  Angalia Uwoya kwenye Oprah au Rose Ndauka kwenye Clinic Love....dah ni aibu tupu. 
 
Wakati mwingine unaweza ukashangaa sana wanawezaje kuishi na mabwana zao huku wakirudi nyumbani jioni wakiwa wametoka kushikwashikwa na wanaume wengine... Pia kuingia bongo muvie siku hizi hakutegemei kipaj sana, uzuri ndo silaha yako lakini ndio ujiandae kutoa mzigo kwa ma-legendary wa kiumeni. 
Hivyo sishauri mdada mzuri kwa sasa kua na ndoto za kuingia huko kwani ni ufuska ndio umetawala tu na wewe mwanaume unaemruhusu demu wako aende akaigize mapenz na mwanaume mwingine ujiandae kuchapiwa japo ni siri ya ndani. Huwa najiuliza BASATA hawaoni au ??? Hayo ni maoni yangu tu kama na wewe unayako tunaweza share na mm kwa comment


Socials