MSANI KALA JEREMIA APATA AJALI SIKU YA VALENTINE

usiku wakuamkia leo, usiku wa valentine ulikuwa unataka kuisha vibaya au kwa namna isiyo kuwa nzuri kwa msanii Kala Jeremaih, ilikuwa ni night akiwa akitoka club , mara ghafla piki piki iligonga ubavu mwa gari lake likayumba na mpaka gari likageuka linapotoka na kuingia mtaroni. Habari njema ni, Kala ni mzima isipokuwa alikuwa  na maumivu kidogo kwa kichwani..  haya ndio maneno kutoka instagram, "nIMEPATA AJALI USIKU HUU NIKIWA NATOKEA CLUB EAST 24 AMBAKO NILIKUWA NAFANYA SHOW NA B BAND WAKATI NARUDI NYUMBANI NIKIWA NIMEKARIBIA KABISA NYUMBANI GHAFLA KUNA MTU WA PIKI PIKI AKAWA ANATAKA KUINGIA NIKAJARIBU KUMKWEPA GARI ILIKUWA KWENYE MWENDO KASI KIDOGO IKAYUMBA KWENDA KULIA NIKAIRUDISHA IKARUDI ZAIDI KUSHOTO NIKAIRUDISHA TENA KULIA IKAWA INATAKA KWENDA MTARONI NIKAIRUDISHA TENA KUSHOTO AMBAKO ILIGEUKA ILIKUKUA INATOKA NA KUINGIA MTARONI AMBAKO ILIKITA NA KUVUNJA MLANGO WA UPANDE WANGU.SIJAAMINI KAMA NIMETOKA BILA HATA JETEHA MGUUNI WALA MAUMIVU ZAIDI YA YALE UA KICHWANI KIDOGO NILIYOJIGONGA KWENYE MLANGO KWA JUU. ANGALIA PICHA ZA GARI LILIVYOHARIBIKA

Socials