KUTANA NA KIJANA HUYU ASKARI AMBAYE NDIYE MMOJA TU ALIYEPONA AJALI YA NDEGE HUKO ALGERIA ILIYOGHARIMU MAISHA YA WATU 77

Matthew Allen

Ama kweli kama siku yako ya mwisho haijafika ,,, hata ukutane na simba mwenye njaa katika mbuga za serengeti uenda akakuacha kiroho safi,,,, huyu ni kijana mdogo  tu mwanajesh  ambaye ni majeruhi pekee aliyepona katika ajali ya ndege iliyotokea na kuwaacha watu 77 wamepoteza maisha,,, kijana huyo alikua amepanda ndege hiyo kikazi ambayoilianguka maeneo ya Oum El Bouaghi  mile 300 kutoka mji mkuu wa Algiers. hta hivyo kijana huyo yuko katika hali mahututi  na bila shaka mwenyezi mungu atamfanyia wepesi aweze kupona inshallah

Socials