|
| Katika hali isiyokuwa ya Kawaida
Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) Mkoa Mbeya limemfungia mpangaji wake ndani ya
duka katika kile kilichodaiwa kuchelewa kulipia pango la chumba hicho kwa muda uliokusudiwa
ambao ni Mwanzo wa Mwezi |
Tukio hilo ambalo lilivuta hisia
za Watu
|
wengi
kutokana na afya ya Mpangaji huyo anayesumbuliwa na Kisukari kwa Muda mrefu
limetokea Leo majira ya saa nne kati kati ya Jiji la Mbeya ambapo Watumishi wa
Shirika hilo walifunga Duka la Kuuzia vifaa vya Maofisini(Stationery) inayojulikana
kwa jila la Rubi iliyopo Posta.
|
Mzee BonifaceIshabakaki(Lubi), na Cecilia wakiwaonesha
waandishi wa habari majina yao kuptia dirisha lakioo wakiwa wamefungiwa na
shirika la nyumba.
|
|
Akizungumzia |
| Dirishani kufuatia kufungiwa kwa duka lake na yeye akiwa ndani pamoja |
| na wafanyakazi wake wawili, Mmiliki wa Duka hilo, Boniface Ishabakaki, |
| alisema ameshangaa kufanyika kwa kitendo hicho kwa sababu tayari Mke |
| wake alikuwa ameshaongea na Meneja na kumtumia Fedha kwa njia ya Mpesa |
| tangu saa nne lakini alivyowaeleza walishindwa kumuelewa. |
|
|
Afisa wa shirika la Nyumba mkoani |
| Mbeya, Alfan Chaula, baada ya kufungua kufuli akiwa anawakwepa wana habari |
|
|
Afisa wa shirika la Nyumba mkoani |
| Mbeya, Alfan Chaula, baada ya kufungua kufuli akiwa anawakwepa wana habari |
|
|
Mmiliki wa Duka hilo, Boniface Ishabakaki, akiongea na waandishi wa habari baada ya kufunguliwa duka lake |
|
upande
wakeKaimu Meneja wa shirika la Nyumba mkoa wa Mbeya S.C Katanga
amesema Ndugu Ishabakaki ni
mpangaji wao wa nyumba Na. 003 Kiwanja Na.
|
6/3 Mtaa wa Lupaway. Mbali na
jitihada zote za kumdai kodi amekuwa
|
msumbufu kulipa pia historia yake
ya ulipaji kodi si mzuri hata
|
kulifikisha shirika katika hatua
ya kutoa Notisi na wakati mwingine
|
|
|
Hata hivyo
baadhi ya watu walioshuhudia
kitendo hicho wamelaani vikali kwa
kile walichodai Shirika hilo limegeuka adui
|
wa wapangaji wao ambao hata hivyo
hawana madeni ya kutisha na siyo wasumbufu
|
kwenye ulipaji na kuongeza kuwa
mzee huyo amekuwa mpangaji wa shirika hilo
|
tangu Mwaka 2000
|
|
|
Amos Manyama Afisa Miliki wa shirika la nyumba akielezea mikakati ya shirika hilo kwa waandishi wa habari |