KALA JEREMIAH"FILAMU TANZANIA HAZILIPI SINA SABABU YA KUINGIA HUKO"

Mwanamuzi wa Bongo Flava Ajulikane kama Kala Jeremiah aliye tamba na wimbo wake wa Dear God Amehabarisha kuwa Tasnia ya Filamu Tanzania Hailipi Kabisa kutoka na Muda mwingi wanaoinvest huko wakati malipo yake ni kidogo sana kiasi wengine wanahamia kwenye mziki kama wakina Shilole......Amesema anapenda sana kuingiza japo hawezi kwa sasa kutokana 

Socials