
Nia na madhumuni kutaka kufahamu je ushawahi kuwa na mahusiano na mvulana/msichana aliekosea namba kwenye simu yako ?
Na kama ushawahi je mahusiano yenu bado yapo hai au mmekwisha achana na mwenzi wako ?
Karibuni wadau tuweze ku share experience
Blogi namba 1 ya Vijana