Msanii anaejulikana kwa | |
| jina la deso hivi karibuni amekamatwa na gunia arobaini za bangi na | |
| mpaka sasa yupo mikononi mwa police katika kituo cha police kibaha na | |
| leo jumatatu anategemewa kufikishwa mahakani kujibu mashtaka hayo. | |
| akiongea na blog hii chanzo chetu cha habari kimesema mtuhumiwa alikutwa | |
| na vitu hivyo kwenye gari alipokuwa anajaribu kuzisafirisha kupeleka | |
| mkoani tanga |
